ratiba ya matangazo
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Mkuu wa itifaki katika wizara ya afya Kivu Kusini, mashariki mwa DRC anaeleza idadi ya watu wanaoathiriwa na afya ya akili nchini humo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
21:00 - 21:29
Mpango wa kutuma maafisa wa polisi wa Kenya kusaidia kupambana na magenge ya uhalifu nchini Haiti waendelea kukumbwa na changamoto.
Mahakama ya Kenya siku ya Jumatatu ilisitisha kwa muda mpango wa serikali wa kutuma polisi nchini Haiti kwenye operesheni inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa inayolenga kurejesha utulivu katika taifa hilo linalokabiliwa na changamoto kubwa ya magenge.