Rais wa Jamhuri ya Congo, Denis Sassou-Nguesso anasema maendeleo makubwa yamepatikana katika mkutano wa mwaka huu wa viongozi wa Marekani na Afrika uliofanyika Washington.