Tangazo la walioteuliwa kuwania tuzo za Grammy mwaka huu limetolewa Jumanne Novemba 15, na linaonekana kuwaweka tena katika jukwaa kwa ushindani kati ya waimbaji Adele na Beyonce kuwania tena nafasi ya juu, katika sehemu mbili tofauti za mashindano hayo kama ilivyokuwa hapo mwaka 2017.
Waislamu wengi wa Marekani hawakubaliani na ghasia katika nchi za kislamu kupinga video inayokejeli mtume Mohamed.
Umoja wa wanawake wa chama cha upinzani CUF waliandamana Unguja kutoa mwito kwa viongozi wa kisiasa kuleta mabadiliko ya kweli visiwani