Ziara ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni Iraki

Pope Francis akutana na Kiongozi Mkuu wa Shia Ayatollah Ali al-Sistani mjini Najaf, Iraq, Jumamosi, Machi 6, 2021.

Pope Francis apokelewa alipotembelea Sayidat al-Nejat (Our Lady of Salvation) Kanisani Baghdad, Iraki, Ijumaa, Machi 5, 2021. (AP Photo/Andrew Medichini)

Papa Francis akiwahutubia viongozi wa dini ya Kikristo katika Kanisa la Sayidat al-Nejat  Baghdad, Iraki, Ijumaa, Machi 5, 2021. (AP Photo/Andrew Medichini)

Papa Francis akisalimiana na Rais wa Iraki Barham Salih katika kasri ya rais mjini Baghdad Iraq, Ijumaa, Machi 5, 2021. (AP Photo/Andrew Medichini)

Waziri Mkuu Mustafa al-Kadhemi akimpokea Papa Francis alipowasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Baghdad.

Papa Francis akiendesha ibada katika Kanisa la Chaldean la  "Mtakatifu Joseph"

Papa Francis akiwa na viongozi wa dini karibu na mji wa kihistoria wa Ur, jirani na Nasiriyah, Iraki, Machi 6, 2021.

Walinzi wakiwa wamemzunguka Papa Francis wakati akiondoka kutoka Kanisa la Katoliki Baghdad la Sayidat al-Najat nchini Iraq on Machi 5, 2021.

Msafara wa Pope Francis ( gari nyeusi ) akiwasili Nyumba ya Ibrahim (Abraham) iliyoko mji mkongwe wa Ur kusini mwa Iraki, on Machi 6, 2021

Papa Francis akisalimiana na waumini kanisani.

Wanawake wakisubiri nje ya Kanisa la Chaldean Baghdad, Iraki, Jumamosi, Machi 6, 2021.

Tangazo la kuwasili kwa Papa Francis na mpango wake wa kukutana na kiongozi wa Waislam wa dhehebu la Shia Ayatollah Ali al-Sistani, Najaf, Iraki, Machi 3, 2021.

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Ulimwenguni, Papa Francis, amekutana Jumamosi mjini Iraq na Ayatollah Ali al-Sistani, kiongozi wa Kiislamu wa dhehebu la Kishia.