Watoto waathirika wakubwa vita vya mji wa Bakhmut

Your browser doesn’t support HTML5

Repoti inaelezea namna kijana mwenye umri wa miaka 16 ambaye madaktari wanaeleza alikuwa na bahati kuweza kunusurika na kupata majeraha ambayo siyo ya kutisha kutokana na mashambulizi ya Russia nchini Ukraine. Endelea kusikiliza kisa cha kunusurika kwake.

Mji huo umeharibiwa kabisa ni hatari kwa raia kuishi, wakiwemo watoto waliokuwa wanakaa mjini humo wakati wa vita.