Wasifu wa Uhuru Kenyatta katika picha

Uhuru akibebwa na babake Jomo Kenyattta baba wa taifa la Kenya

Mzee Jomo Kenyatta rais wa kwanza wa Kenya

Mama Ngina

Uhuru Kenyatta mgombea kiti kwa niaba ya chama tawala KANU akizungumza na Wakenya wa Ulaya Disemba 2002

Uhuru Kenyatta katika kampeni ya uchaguzi kama mgombea kiti cha rais kwa niaba ya KANU Disemba 11 2011

Uhuru Kenyatta akiwapungua mkono wafuasi wake kwenye mkutano wa KANU ulomuidhinisha kuwa mgombea kiti wa chama 2002

Uhuru Kenyatta ahudhuria kikao cha kesi ya awali kwenye mahakama ya ICC The Hague

waziri wa fedha wa Kenya Uhuru Kenyatta akimpokea Mkurugenzi mtendaji wa IMF Dominique Strauss-Kahn (kulia) Machi 6 2010

Naibu waziri mkuu wa Kenya Uhuru Kenyata akiwa pamoja na William Ruto walipotangaza muungano wao wa Jubilee Disemba 2012

Uhuru Kenyatta na mgombea mwenza wake William Ruto wakiwa Mombasa wakati wa kampeni za uchaguzi Februari 2013

Naibu waziri mkuu wa Kenya Uhuru Kenyata, (kati) awasili kwa kampeni mjini Suswa, Rift Valley.

Mgombea kiti cha rais Kenya, Uhuru Kenyatta akipiga kura yake gatundu mji alikozaliwa akiwa pamoja na mkewe marchi 4 2013

Naibu waziri mkuu Uhuru Kenyata na mgombea mwenza wake William Ruto wawasili kwenye uwanja wa Uhuru kwa kampeni ya mwisho ya uchaguzi wa 2013

Uhuru Kenyatta akionesha hati ya ushindi wake katika uchaguzi wa rais aliyokabidhiwa na IEBC

rais mteule wa Kenya Uhuru Kenyatta na mkewe Margaret kanisani Gatundu, Machi 10 2013

Rais mteule Uhuru Kenyata