Wananchi wa Ukraine waendelea kukabiliana na athari za mashambulizi ya Russia

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Ukraine wanaendelea kukabiliana na athari za mashambulizi ya makombora yaliyofanywa na ndege zisizokuwa na rubani katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv na miji mingine wiki hii.

Mashambulizi hayo yaliyofanywa na Russia yameharibu miundombinu na makazi ya watu. Endelea kusikiliza yaliyotokea wakati wa mashambulizi hayo...