Wakenya wajitokeza kupiga kura mjini Dar es Salaam

Your browser doesn’t support HTML5

Wananchi wa Kenya ambao wanaishi nchini Tanzania wamejitokeza Jumanne kupiga kura katika ubalozi wa Kenya uliyopo eneo la Oysterbay, mjini Dar es Salaam.