Waangalizi wa kimataifa watembelea kituo cha kupiga kura Mombasa

Your browser doesn’t support HTML5

Waangalizi wa kimataifa watembelea kituo cha kupiga kura kushuhudia matayarisho ya upigaji kura katika Shule ya Upili ya Alidina moja ya vituo 290 ya kuhisabu na kujumuisha kura mjini Mombasa. Tume ya Uchaguzi IEBC imegawa vifaa vya kupigia kura katika vituo vyote jimbo la Mombasa.