Waaandamanaji DRC waishutumu Rwanda kwa kuunga mkono waasi

Your browser doesn’t support HTML5

Maandamano makubwa yafanyika Goma, Kivu kaskazini waandamanaji wakiishutumu Rwanda kuunga mkono waasi wa M23.

Uingereza imeendelea kusisitiza mpango wake wa kuwahamisha wahamiaji kwenda Rwanda wanaoomba

hifadhi nchini kwake leo licha ya pingamizi ya majaji wa Ulaya

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari