Uchaguzi Mkuu Angola August 24 2022: Vuguvugu la uchaguzi linaendelea

Faustino Mumbica, Katibu Mkuu Taifa wa masuala ya uchaguzi wa UNITA, (kushoto) na Nelito Equiqui, mbunge, (kulia), Luanda Angola 19 Agosto 2022

Rui Falcao, msemaji wa chama cha MPLA, katika mkutano wa kampeni za uchaguzi wa mwisho, Camama, Luanda, Angola. August 20, 2022
 

João Lourenço, mgombea wa chama cha MPLA, kinachotafuta uongozi wa awamu ya pili nchini Angola, kimemaliza kampeni za uchaguzi katika uwanja mkubwa wa uchaguzi, Luanda, August 20, 2022

Benedito Daniel, kiongozi wa PRS - chama cha Social Renewal Party cha Angola na mgombea wa urais katika uchaguzi wa August 24, 2022, Luanda, Angola.

Kituo cha kupiga kura katika Jumuiya ya Amangola, Luanda. Picha ya August 19.

Bendera ya vyama vya UNITA na FNLA zikipepea na mabango ya kiongozi wa MPLA João Lourenço, yakiwa katika barabara za Luanda. Angola, August 19, 2022.
 


Daraja la juu likipeperusha maandishi ya kampeni ya UNITA ikiwa na jina la rais wake Adalberto Costa Júnior. Luanda, Angola, August 16, 2022.

Daladala likiwa na picha za viongozi watatu wa vyama vikuu nchini Angola na kauli mbiu "Watu wamoja, Taifa moja." Luanda, Angola, August 19, 2022

Uma mulher carrega erva de chá de caxinde numa bacia à cabeça, ao mesmo tempo que se vê um pequeno cartaz num poste de luz dizendo "Vota UNITA". Bairro da Fubu, Luanda

Cartaz com o candidato João Lourenço, ao pé de bandeiras com as cores do MPLA, partido no poder, Camama, Luanda.

Uchaguzi Mkuu umepangwa kufanyika Angola August 24, 2022 kumchagua Rais na Wabunge President. Vuguvugu la uchaguzi linaendelea nchini humo huku kampeni zikifikia ukingoni. Rais aliyeko madarakani João Lourenço anagombea awamu yake ya pili.