UAE yafungua ofisi za ubalozi Israeli

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, imekuwa taifa la kwanza la nchi za Ghuba kufungua ubalozi Jumatano nchini Israeli.