Tume ya Uchaguzi Kenya yakamilisha kusambaza vifaa nchini
Your browser doesn’t support HTML5
Wakenya wako tayari kwa uchaguzi mkuu wa urais 2022 ambapo Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC imeeleza kuwa zoezi la kusambaza vifaa vya kupiga kura linaendelea nchi nzima, ikiwa ni vifaa vya mwisho kusambazwa leo Jumatatu kote nchini. Jumanne wananchi wanaanza kupiga kura.