Papa Francis aanza ziara Kenya

Papa Francis akizungumza katika Ikulu ya Nairobi, Nov. 25, 2015.

Papa Francis (kushoto) na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Nov. 25, 2015.

Watu wakisubiri kuwasili kwa Papa Francis barabarani kutoka uwanja wa ndege kuelekea Ikulu Nairobi, Nov. 25, 2015.