Mwanaharakati aelezea mchango wa Rais Kenyatta
Your browser doesn’t support HTML5
Mwanasheria na mwanaharakati aeleza Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atakumbukwa kutokana na mchango wake wa kutafuta uwiano na makundi mbalimbali kuleta umoja nchini. Pia Rais atakumbukwa kwa juhudi kubwa ya kuleta maendeleo nchini.