Mama aikumbusha serikali ya Kenya waathirika wakuu wa ghasia ni wanawake na watoto

Your browser doesn’t support HTML5

Mama wa watoto watatu anayeishi Nairobi anasema kikohozi cha mwanawe ni ukumbusho wa yale yaliyojiri tarehe 20 Machi kutokana na bomu la machozi lililorushwa ndani ya nyumba yao.

Ungana na mwandishi wetu akikuletea madhila yaliyomkuta mama huyu na jinsi mtoto wake alivyoathirika na moshi wa bomu la machozi. Lakini pia anaujumbe mzito kwa serikali ya Kenya kuhusu waathirika wakubwa wa ghasia nchini humo. Endelea kumsikiliza....