Maelfu ya watu wahudhuria mkutano kupinga mashambulizi ya bunduki

Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC

Mkutano dhidi ya mashambulizi ya bunduki Washington DC

Mkutano wa kupinga mashambulizi ya bunduki Washington DC

Mkutano dhidi ya bunduki Washington "March for our Lives"

Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC

Muandamanaji kwenye March for our Lives

Makumbusho ya walouliwa kwa bunduki Marekani

Watu wabeba mabango wakati wa mkutano dhidi ya bunduki Washington DC

Muuza vifungo vya March for our Lives

Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC

Wanaharakati dhidi ya bunduki wahutubia mkutano wa "March for our Lives", mjini Washington DC.

Maelfu ya watu wahudhuria mkutano wa kup[inga bunduki 'March for Our Lives' mjini Washington, DC, Jumamosi, June 11, 2022.

Meya wa Washington Muriel Bowser, akihutubia mkutano wa kupinga mashambulizi ya bunduki "March for our Lives", mjini Washington DC.

Maelfu ya Watu washiriki kwenye maandamano na mikutano ya kupinga mashambulizi ya buduki, wakitoa wito wa hatua kali kcuhukuliwa ili kudhibiti bunduki Maekani.