#voa400 : Kumbukumbu ya miaka 400 ya utumwa

Your browser doesn’t support HTML5

Maadhimisho ya miaka 400 tangu Waafrika wa kwanza kutoka Angola waliotekwa na kufanywa watumwa kuwasili nchi ambayo leo ni Marekani.
Kuwasili kwa meli iliyokuwa imewabeba Waafrika kutoka Angola katika koloni la Virginia, mwezi Agosti 1619, ilikuwa ni mwanzo wa kuanza biashara ya utumwa iliyodumu kwa zaidi ya miaka 200 nchini Marekani.

Mayra de Lassalette na Betty Ayoub wa VOA walisafiri hadi Angola kufahamu zaidi kuhusu chanzo kimojawapo cha biashara ya watumwa waliovushwa bahari ya Atlantic na athari zinazoendelea katika eneo hilo.