Jill Biden, mke wa rais wa Marekani atembelea miradi Kibera, kitongoji cha Nairobi

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden na waziri wa masuala ya Afrika Mashariki Rebecca Miano wahudhuria maonyesho ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Hello Tractor.

 Mke wa rais wa Marekani Jill Biden na waziri wa masuala ya Afrika Mashariki Rebecca Miano wahudhuria maonyesho ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Hello Tractor.

Mke wa rais wa Marekani atembelea kanisa la AP Community katika kitongoji cha Kibera.

Mke wa rais wa Marekani akifuatana na mwenzake wa Kenya Rachel Ruto wahudhuria kazi za kundi la wanawake kwenye kanisa la AP Community katika kitongoji cha Kibera.

Mke wa rais wa Marekani akiwa na mwenzake wa Kenya  Rachel Ruto wahudhuria kazi za kundi la wanawake kwenye kanisa la AP Community katika kitongoji cha Kibera.

Mke wa rais wa Marekani akiwa na mwenzake Rachel Ruto wahudhuria kazi za kundi la wanawake kwenye kanisa la AP Community katika kitongoji cha Kibera.

Mke wa rais wa Marekani azungumza na mwenzake Rachel Ruto wanapohudhuria kazi za kundi la wanawake kwenye kanisa la AP Community katika kitongoji cha Kibera.

Mke wa rais wa Marekani akifuatana na mwenzake Rachel Ruto watembea katika kitongoji cha Kibera.

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden ahudhuria kazi za kuwawezesha vijana zinazosimamiwa na shirika la Shujaaz mjini Nairobi.

Mke wa rais wa Marekani Jill Biden ahudhuria kazi za kuwawezesha vijana zinazosimamiwa na shirika la Shujaaz mjini Nairobi.

Mke wa rais wa Marekani, Jill Biden, ametembelea kitongoji cha Kibera na kukutana na wanawake wanaojiwezesha kwa kutumia umoja wa kujiwekea fedha.