Dubai: Je, COP28 italeta matumaini mapya ya kupunguza joto ulimwenguni?

Your browser doesn’t support HTML5

Jarida la Wikiendi wiki hii linajadili suala nyeti la mabadiliko ya hali ya hewa duniani, na iwapo mkutano wa hali ya hewa unaofanyika Umoja wa Falme za Kiarabu, COP28 utaleta matumaini mapya ya kupunguza joto ulimenguni?