G20 kujadili athari za kiuchumi zinazotokana na uvamizi wa Russia huko Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Utawala wa Joe Biden unajitayarisha kuanza mazungumzo kuhusu athari za kiuchumi duniani kutokana na uvamizi wa Russia nchini Ukraine wakati wa mkutano wa viongozi matajiri zaidi duniani G20.