Wahamiaji wavuka mpaka kwa lazima kuingia Hispania kutoka Morocco

Mhamiaji akipeperusha bendera ya Umoja wa Ulaya alipowasili Ceuta, Hispania Feb 17 2017.

Wahamiaji wa Kiafrika wakijaribu kuruka uzio kuingia Ceuta, Hispania.

Mhamiaji akibusu ardhi alipofika Ulaya eneo la Ceuta, Hispania hapo Februari 17 2017.

Wahamiaji walokamatwa walipoingia Ceuta, Hispania.

Wahamiaji wakisherehekea walipowasili eneo la Ceuta, Hispania Februari 17 2017.

Wahamiaji wa Kiafrika wakikaguliwa na maafisa wa usalama katika eneo la Ceuta, Hispania, Februari 17 2017.

Wahamaji wa Kiafrika walochoka wakika karibu na kituo cha polisi baada ya kuvuka uzio katika eneo la Ceuta, Hispania . Februari 17 2017.