DRC: Waasi wa M23 waanza tena mapigano mapya dhidi ya majeshi ya serikali

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya utulivu wa siku chache kwa mara nyingine mlio wa risasi umesikika katika mji mdogo ulioko magharibi ya Kisanga, Wilayani Masisi.