Biden afanya ziara ya kushtukiza nchini Ukraine

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani Joe Biden afanya ziara ya ghafla nchini Ukraine wakati vita kati ya Russia na Ukraine vinaingia mwaka moja.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari