Shambulizi la bunduki la mwishoni mwa wiki Marekani laibua tena mjadala kuhusu haki za kumiliki bunduki

Your browser doesn’t support HTML5

Kufuatia shambulizi la bunduki katika jimbo la Texas mwishoni mwa wiki, mjadala umeanza tena kuhusu haki za umiliki wa bunduki.