Shirika la Anga za Juu la Rwanda (RSA) latangaza huduma ya intaneti ya satelaiti ya kasi ya juu

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la Anga za Juu la Rwanda (RSA) lilitangaza kuwa na huduma ya intaneti ya satelaiti ya kasi ya juu ya SpaceX ya Starlink itaanza kufanya kazi nchini humo katika robo ya kwanza ya mwaka 2023.