Ripoti ya Kamati ya bunge la Marekani kuhusu uvamizi uliotokea bungeni wakati wa kurasmisha ushindi wa rais Joe Biden Januari 6 2021

Your browser doesn’t support HTML5

Ripoti hiyo inahusu juhudi za rais wa zamani Donald Trump kutaka kubatilisha ushindi wa Biden. Wademocrat wanasema Trump anastahili kufunguliwa mashtaka ya uhalifu. Kennes Bwire amezungumza na Prof David Monda, mhadhiri wa siasa katika chuo kikuu cha City New York,