Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 28, 2023 Local time: 17:09

Zanzibar kuwekeza katika miradi ya kimkakati kuimarisha uchumi


Zanzibar kuwekeza katika miradi ya kimkakati kuimarisha uchumi
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:08 0:00

Rais Hussein Mwinyi asema mradi wa kimkakati wa sekta ya bandari na usafirishaji wa majini utakao gharimu takriban dola za Marekani bilioni 6.3 utakuwa kichocheo kikubwa cha sekta mbalimbali nchini Zanzibar.

XS
SM
MD
LG