Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 18:10

Kwa nini baadhi ya Wamarekani hawamwamini Hillary Clinton?


Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton
Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton

Katika Msururu wa Makala zetu maalum kuhusu uchaguzi wa urais hapa Marekani, tunaangazia swala la uaminifu. Je ni kwa nini kauli kwamba Wamarekani hawaamini anayoyasema mgombea wa tikiti ya chama cha Democratic, zinaendelea kuiathiri azima yake ya kuwa rais wa Marekani?

Ni kwa nini baadhi ya Wamrekani wameeleza kuwa hawana imani na mengi anayoyasema Clinton kwenye midahalo na mikutano ya kampeni. Huyu hapa BMJ Muriithi akilitizama swala hilo kwa undani Zaidi……..

please wait

No media source currently available

0:00 0:05:35 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG