Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 02, 2023 Local time: 01:00

WHO yajadili usalama wa chanjo ya AstraZeneca


WHO yajadili usalama wa chanjo ya AstraZeneca
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wataalam wa afya wa Shirika la Afya Duniani wanajadili usalama wa ubora wa chanjo ya AstraZeneca baada ya nchi kadhaa kusitisha utoaji wa chanjo hiyo

Shirika la Save The Children wanasema kikundi cha wanamgambo wa Kiislam wenye msimamo mkali wanachinja watoto wadogo Msumbiji.

Rwanda yaregeza baadhi ya masharti yake ya kujikinga na COVID-19 ikiwemo kutoka nje usiku.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG