Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 08:59

WHO : Maambukizi ya virusi vya corona ni janga la kimataifa


DKT Tedros Adhanom Ghebreyesus

Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa kuenea kwa virusi vya corona katika mataifa mbalimbali duniani hivi sasa kumefikia kuwa janga la kimataifa.

Mkuu Shirika hilo Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema Jumatano kuwa idadi ya maambukizi nje ya Uchina vimeongezeka mara 13 katika wiki mbili zilizopita.

Dkt Ghebreyesus anasema "anahofu kubwa " kutokana na "viwango vya maambukizi " hayo.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG