Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Local time: 04:55

Waziri wa uchumi wa Japan ajiuzulu


Waziri mkuu wa Japan Fumio Kishida wakati wa mazishi ya mtangulizi wake Sept. 27, 2022, mjini i Tokyo.
Waziri mkuu wa Japan Fumio Kishida wakati wa mazishi ya mtangulizi wake Sept. 27, 2022, mjini i Tokyo.

Waziri wa Uchumi wa Japan, Daishiro Yamagiwa,  Jumatatu aliwasilisha barua ya kujiuzulu kutokana na mahusiano yake na kanisa la Unification.

Yamagiwa alikuwa amekabiliwa na ukosoaji mkubwa ambapo hakutoa maelezo kuhusu utatanishi wa darzeni ya waliyohusika wakiwemo wabunge wa chama kingine na shutuma ambazo zimeikumba serikali ya Waziri Mkuu Fumio Kishida.

Kashfa hii ilitaja miongo kadhaa ya uhusiano karibu sana kati ya waziri mkuu wa zamani Shinzo Abe ambaye aliuliwa mwezi Julai, wa chama chake tawala cha Liberation Democratic na kanisa la Unification.

Serikali ya Kishida inaunga mkono kushuka kwa viwango vya utenda kazi kwa jinsi ilivyoshughulikia mzozo wa kanisa na kushughulikia mazishi ya Abe. Kanisa hilo tangu miaka 1980 lilikabiliwa na shutuma za uandikishaji mbaya na kuwalaghai watu. Kishida amesema Jumanne atamtangaza mrithi wa Yamagiwa.

XS
SM
MD
LG