Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 18, 2024 Local time: 04:37

Wataalam wa Afya kujadili changamoto za COVID-19 Afrika


Usikose kuungana na Sauti ya Amerika (VOA) Afrika siku ya Jumatano, Aprili 8, 2020 itakapo kuletea kipindi maalum cha mkutano utakaoshirikisha wataalam wa ngazi ya juu wa afya.

Wataalam hao watazungumzia changamoto za kukabiliana na COVID-19 barani Afrika.

Kadhalika watajibu maswali yaliyowasilishwa na wasikilizaji na watazamaji wa vipindi vya VOA Afrika kupitia mitandao yake ya kijamii.

Mkutano huu utaongozwa na Linord Moudou, Mtangazaji wa Kipindi cha Afya wa Kitengo cha Afrika cha VOA

XS
SM
MD
LG