Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 15, 2025 Local time: 13:29

Wanajeshi wa mwisho wa Ufaransa waondoka CAR


Wanajeshi wa Ufaransa wakiondoka kwenye moja ya vituo vyao ya operesheni katika ukanda wa Sahel
Wanajeshi wa Ufaransa wakiondoka kwenye moja ya vituo vyao ya operesheni katika ukanda wa Sahel

Wanajeshi 47 kutoka kitengo cha msaada wa vifaa waliondoka uwanja wa ndege wa Bangui wakiwa ndani ya ndege C-130 na kuwa wa mwisho kati ya kikosi cha watu 130 cha Ufaransa

Wanajeshi wa mwisho wa Ufaransa waliopelekwa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) waliondoka Alhamisi, hatua ambayo ilichochewa na uhusiano wa karibu wa nchi hiyo na Russia, mwandishi wa shirika la habari la AFP alishuhudia.

Wanajeshi 47 kutoka kitengo cha msaada wa vifaa waliondoka uwanja wa ndege wa Bangui wakiwa ndani ya ndege namba C-130 na kuwa wa mwisho kati ya kikosi cha watu 130 cha Ufaransa kuondoka Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye nchi hiyo yenye matatizo ya kiusalama.

XS
SM
MD
LG