Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Mei 24, 2024 Local time: 10:19

Wanajeshi 17 wauwawa na wanamgambo nchini Mali

Picha Maktaba: Wanajeshi wa Mali wakipiga doria na askari kutoka kikosi kipya cha Takuba karibu na mpaka wa Niger katika eneo la Dansongo,Agosti 23, 2021. REUTERS/Paul Lorgerie.
Picha Maktaba: Wanajeshi wa Mali wakipiga doria na askari kutoka kikosi kipya cha Takuba karibu na mpaka wa Niger katika eneo la Dansongo,Agosti 23, 2021. REUTERS/Paul Lorgerie.

Wanamgambo wameuwa wanajeshi 17 wa Mali na raia wanne katika shambulio karibu na mji wa Tessit siku ya Jumapili, jeshi la Mali lilisema.

Wanamgambo wameuwa wanajeshi 17 wa Mali na raia wanne katika shambulio karibu na mji wa Tessit siku ya Jumapili, jeshi la Mali lilisema.

Wanajeshi tisa pia wameripotiwa kupotea na magari na vifaa viliharibiwa, ilisema katika taarifa iliyotolewa Jumatatu jioni, na kuongeza kuwa inashuku kuwa ni fuasi washirika wa kundi la Islamic State.

Tarehe 7 Agosti mwaka huu vitengo vya jeshi vya Tessit vilijibu kwa nguvu shambulio la hali ya juu na lililoratibiwa na vikundi vya kigaidi vilivyojihami, pengine kutoka kwa ISGS ((Islamic State in the Greater Sahara) na kunufaika na msaada wa ndege zisizo na rubani na mizinga, taarifa hiyo ilisema.

XS
SM
MD
LG