Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Desemba 06, 2022 Local time: 01:15

Wakulima Kenya waeleza walivyonufaika na teknolojia ya kukabiliana na ukame


Wakulima Kenya waeleza walivyonufaika na teknolojia ya kukabiliana na ukame
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:43 0:00

Ikizidishwa na ukame kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa udogo wa mchanga katika eneo hili kama ilivyo katika maeneo ya ukame na yale ya nusu ukame imefanya kuwa vigumu kuzalisha mazao mengi. Faraja ni kuwa teknolojia mpya ya kuhifadhi maji ya Marekani inawapa matumaini wakulima.

Sikiliza jinsi mtaalam wa Marekani alivyoifufua teknolojia hii na namna mtaalam wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta, Kenya anavyoongoza kuisamba teknolojia hii. Endelea kusikiliza...
#teknolojia #kuhifadhimaji #marekani #mtaalam #chuokikuu
#kenya #ukame #voa #voaswahili #dunianileo

XS
SM
MD
LG