Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 06:37

Wakenya kupata msaada wa kisheria kwa teknolojia ya roboti mtandaoni


Wakenya kupata msaada wa kisheria kwa teknolojia ya roboti mtandaoni
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:44 0:00

Wakenya wanaweza kupata msaada wa kisheria kupitia mtandao wa KenyaLaw.Com ambao hutumia teknolojia ya roboti maarufu kama 'artificial intelligence' kukupatia majibu ya chochote unachotaka kufuhamu kuhusu matatizo ya kisheria na mahakama.

XS
SM
MD
LG