Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Oktoba 02, 2022 Local time: 15:19

Waethiopia wapiga kura huku madai yakitolewa kuwepo dosari


Waethiopia wapiga kura huku madai yakitolewa kuwepo dosari
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:01 0:00

Waethiopia wapiga kura katika uchaguzi unaodaiwa kugubikwa na dosari lakini Waziri Mkuu asema ulikuwa huru na wa haki.

Rais mteule wa Iran asema hana mpango wa kukutana na Rais wa Marekani licha ya vikwazo vingi vya kiuchumi kuendelea kuwepo

Changamoto zinazowakabili wakimbizi Afrika Mashariki na kwengineko zaangaziwa kwenye maadhimisho ya siku ya wakimbizi mwishoni mwa wiki.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG