Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili inayoeleza hasara zinazotokana na majanga mbalimbali duniani ikiwemo vimbuga, vita na mafuriko na kiwango cha fedha zilizotolewa kufidia uharibifu huo. Pia utaweza kusikiliza habari mbalimbali za dunia...