No media source currently available
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA, lakubali pendekezo la kupiga kura dhidi ya Russia kuondolewa katika Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo Alhamisi.