Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Julai 21, 2024 Local time: 20:03

UN yasema LGBT wananyanyaswa wakiwa jela


Mahad, aliebadili jinsia kwenye sherehe za kupatiana Tuzo Kampala, 2015.
Mahad, aliebadili jinsia kwenye sherehe za kupatiana Tuzo Kampala, 2015.

Mchunguzi maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya mateso Juan Mendez amebaini kuwa mashoga na watu waliobadilisha jinsia wako katika hatari ya kukumbwa na mateso au hata kutendewa vibaya hasa wakiwa kizuizini .

please wait

No media source currently available

0:00 0:01:58 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Mendez anasema ''Makundi haya ya wafungwa yanakumbwa na mateso na vitendo vingine vibaya, kote wakiwa kizuizini na hata nje ya vizuizi. Kuna takriban mataifa 76 ulimwenguni ambayo yana sheria zinazopinga mahusiano ya watu wa jinsia moja hata iwe faraghani".

XS
SM
MD
LG