Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 20, 2026 Local time: 09:13

Ujumbe wa Baraza la Usalama la UM wamaliza ziara DRC

Ujumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, Jumapili umekamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC).

Mabalozi waliokuwepo katika ziara hiyo waligusia suluhisho la kisiasa la kumaliza mgogoro wa kundi la M23.

Kundi hilo kwa sasa linashikilia maeneo kadhaa katika jimbo la Kivu Kaskazini toka liliporejea kufanya harakati zake mwaka 2021 baada ya kuwa kimya.

Wapiganaji wa M23 pia wamesonga mbele katika siku za karibuni, wakitishia kufunga barabara zote zinazo unganisha mji wa Goma, ambao una wakaazi zaidi ya milioni moja na unapakana na Rwanda.

Mapigano baina ya vikosi vya jeshi la serekali ya DRC, na M23 ambao wanashutumiwa kusaidiwa na Rwanda, yamesababisha kuwakosesha makazi watu zaidi ya 800,000 kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.

Ujumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa uliwasili Alhamisi, katika mji mkuu wa Kinshasa kabla ya kusafiri kwenda Goma, Jumamosi.

Mabalozi wa Baraza la Usalama watembelea kambi ya Bushangara karibu na Goma.

Mabalozi wa Baraza la Usalama na wajumbe wa mashirika ya huduma za dharura watembelea kambi ya Bushangara ya watu walokoseshwa makazi.
1/12 Mabalozi wa Baraza la Usalama na wajumbe wa mashirika ya huduma za dharura watembelea kambi ya Bushangara ya watu walokoseshwa makazi.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya Bushangara karibu na Goma.
2/12 Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya Bushangara karibu na Goma.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Bintou Keita Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa UN nchini Congo na Mkuu wa MONUSCO azungumza na polisi wakati wa ziara kwenye kambi ya Bushangara, karibu na Goma.
3/12 Bintou Keita Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa UN nchini Congo na Mkuu wa MONUSCO azungumza na polisi wakati wa ziara kwenye kambi ya Bushangara, karibu na Goma.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Mabalozi wa Baraza la Usalama Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya wakimbizi ya Bushangara karibu na Goma.
4/12 Mabalozi wa Baraza la Usalama Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya wakimbizi ya Bushangara karibu na Goma.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakutana na wakimbizi kwenye kambi ya Bushangara, nje ya Goma siku ya umapili March 12, 2023.
5/12 Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakutana na wakimbizi kwenye kambi ya Bushangara, nje ya Goma siku ya umapili March 12, 2023.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya wakimbizi ya Bushangara nje ya mji wa Goma
6/12 Mabalozi wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa watembelea kambi ya wakimbizi ya Bushangara nje ya mji wa Goma
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Wacongo walopoteza makazi yao wanaoishi katika kambi ya Bushangara wanawatizama mabalozi wa UN wakitemblea kambi yao March 10, 2023.
7/12 Wacongo walopoteza makazi yao wanaoishi katika kambi ya Bushangara wanawatizama mabalozi wa UN wakitemblea kambi yao March 10, 2023.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Mabalozi wa Baraza la Usalama la UN wazungumza na wajumbe wa wakimbizi katika kambi ya Bushangara karibu na Goma 
8/12 Mabalozi wa Baraza la Usalama la UN wazungumza na wajumbe wa wakimbizi katika kambi ya Bushangara karibu na Goma 
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Wacongo walopoteza makazi yao wanaoishi katika kambi ya Bushangara wanawatizama mabalozi wa UN wakitemblea kambi yao March 10, 2023.
9/12 Wacongo walopoteza makazi yao wanaoishi katika kambi ya Bushangara wanawatizama mabalozi wa UN wakitemblea kambi yao March 10, 2023.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Bintou Keita Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa UN nchini Congo na Mkuu wa MONUSCO, atowa heshima zake kwa walinda amani akitembelea Goma.
10/12 Bintou Keita Mjumbe maalum wa Katibu mkuu wa UN nchini Congo na Mkuu wa MONUSCO, atowa heshima zake kwa walinda amani akitembelea Goma.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Nicolas de Riviere, Balozi wa Ufaransa kwenye UN akikutana na ujumbe wa MONUSCO mjini Goma wakati wa ziara yao Jumapili March 12, 2023.
11/12 Nicolas de Riviere, Balozi wa Ufaransa kwenye UN akikutana na ujumbe wa MONUSCO mjini Goma wakati wa ziara yao Jumapili March 12, 2023.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Msaada wa dharura kutoka Umoja wa Ulaya unawasili Goma wakati wa ziara ya mabalozi wa Baraza la Usalama la UM katika mji huo.
12/12 Msaada wa dharura kutoka Umoja wa Ulaya unawasili Goma wakati wa ziara ya mabalozi wa Baraza la Usalama la UM katika mji huo.
Ujumbe wa Baraza la Usalama unatembelea Goma na kambi ya wakimbizi wa ndani ya Bushangara, ili kutathmini kazi za kikosi cha kulinga amani cha MONUSCO.
Previous slide
Next slide

XS
SM
MD
LG