Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Aprili 15, 2024 Local time: 09:03

Waganda wasubiri Mdahalo wa wagombezi Urais kwa hamu


Rais Museveni akimpa mkono hasimu wake wa kisiasa Besigye, kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25.
Rais Museveni akimpa mkono hasimu wake wa kisiasa Besigye, kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25.

Wapiga kura nchini Uganda wanatarajia kushuhudia wagombezi wote wa urais wakijadili maswala yanayowahusu katika mjadala utaopeperushwa moja kwa moja na vyombo vya habari Ijumaa jioni.

Japo matayarisho yamekamilika na wageni waalikwa wameanza kufika kwenye ukumbi wa mjadala, ushiriki wa rais wa sasa Yoweri Museveni bado haujulikani huku waandalizi wakiwa na kibarua kigumu kumshawishi Dkt Kiiza Besigye kushiriki.

Mwandishi wetu wa Kampala Kennes Bwire anaripoti.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:20 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

XS
SM
MD
LG