Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Juni 19, 2025 Local time: 16:19

Ufilipino yajenga kituo cha ulinzi wa pwani


Ufilipino imejenga kituo cha walinzi wa pwani katika visiwa vyake vya kaskazini karibu na Taiwan, ikiboresha  uwezo wake wa kufuatilia eneo ambalo China imeweka  uwepo wake wa kijeshi, mshauri wa usalama wa taifa Eduardo Ano, amesema leo Ijumaa.

Amesema kituo hicho kipya kiko umbali wa chini ya kilomita 200 kutoka Taiwan, ambayo China inadai kuwa ni himaya yake yenyewe, itaboresha uwezo wa Manila kufuatilia mlango bahari wa Luzon, kuwa ni muhimu kama njia ya kimataifa ya bahari kusini mwa nchi hiyo kisiwa kinachotawaliwa kidemokrasia.

Ano amesema eneo karibu na mji wa Itbayat katika visiwa vya Batanes vya Ufilipino vilikuwa eneo la mvutano wa kijeshi mwaka 2022 baada ya China kuitikia kisiasa maendeleo kati ya Taiwan na Marekani, ambayo ni mshirika wake muhimu wa kigeni.

Shughuli za kijeshi za baharini za China liliangaziwa amesema Luzon Strait katika taarifa.

Forum

XS
SM
MD
LG