Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Oktoba 02, 2023 Local time: 05:33

Ufaransa yaanza kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais


Wagombea urais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mpinzani wake Marine Le Pen.

ansa ilianza kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa urais Jumapili katika kinyang'anyiro kati ya Emmanuel Macron na mwanasiasa wa siasa kali za mrengo wa kulia Marine Le Pen.

Macron yuko katika nafasi nzuri ya kushinda uchaguzi tena katika duru ya pili ya urais wa nchi hiyo, lakini uongozi wake dhidi ya Le Pen unategemea na jambo moja kuu lisilo na uhakika kwa wapiga kura ambao wanaweza kuamua kusalia nyumbani.

Ushindi wa Macron katika kura hii ambayo inaweza kuwa na athari kubwa kwa mwelekeo wa baadaye wa Ulaya na juhudi za Magharibi kusitisha vita nchini Ukraine zitamfanya kuwa rais wa kwanza wa Ufaransa katika kipindi cha miaka 20 kushinda muhula wa pili.

Ushindi wa Macron katika kura hii ambayo inaweza kuwa na athari kubwa kwa mwelekeo wa baadaye wa Ulaya na juhudi za Magharibi kusitisha vita nchini Ukraine zitamfanya yeye kuwa rais wa kwanza wa Ufaransa katika kipindi cha miaka 20 kushinda muhula wa pili.

XS
SM
MD
LG