Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 00:27

Uchafuzi wa Mto Nile warepotiwa kuanzia eneo la kibiashara Jinja, Uganda


Uchafuzi wa Mto Nile warepotiwa kuanzia eneo la kibiashara Jinja, Uganda
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:21 0:00

Mji wa Jinja nchini Uganda ambapo kuna harakati za biashara mbalimbali katika eneo ambalo Mto Nile unaanzia, umeshuhudia kuongezeka kwa uchafuzi unaofanywa na viwanda na biashara katika eneo hilo.

Hilo lilizusha wasiwasi mkubwa mwaka 2021 ambapo Repoti ya jumuiya ya nchi 10 ya mpango wa bonde la Mto Nile ilionya kwamba utajiri wa maliasili na viumbe katika mto huo vinakabiliwa na vitisho visivyokuwa na kifani. Sikiliza uchambuzi wa kitaalam kuhusu athari za uchafuzi huo ...

XS
SM
MD
LG