Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Mei 28, 2024 Local time: 22:40

Tuzo za Oscar kurudi baada ya miaka miwili

Maandalizi ya tuzo za Oscar za 94t huko Los Angeles Carlifornia Machi 27,2022.
Maandalizi ya tuzo za Oscar za 94t huko Los Angeles Carlifornia Machi 27,2022.

Kwa mara ya kwanza baada ya miaka miwili, Tuzo za Oscar zinazindua Zulia jekundu katika ukumbi wa Dolby wa Los Angeles kwa kile ambacho waandaaji wanatumai kuwa Tuzo za Oscar zitakuwa kama  kawaida. Isipokuwa kwa baadhi ya mambo  yaliyobadilishwa.

Kuonyeshwa kwenye televisheni kwa tuzo hizo za 94 za Oscar kutaanza, kama kawaida, saa mbili za usiku saa za Marekani kwenye Televisheni ya ABC.

Lakini kidogo zaidi kuhusu jinsi tuzo za Oscar za mwaka huu zinavyofanyika ni yale ya kawaida. Saa moja kabla ya matangazo kuanza, wahudhuriaji watakusanyika katika ukumbi wa Dolby kwa uwasilishaji wa tuzo nane.

Ni nani watakaochukua picha bora. Matarajio kwenye CODA ya Apple TV plus au " The Power of the Dog” ya Netflix. Aidha hii itakuwa picha bora kupitia huduma ya mtandao kwa mara ya kwanza katika tuzo hizo.

XS
SM
MD
LG