Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Desemba 09, 2023 Local time: 10:57

Somalia yapiga marufuku mashirika ya misaada


Somalia yapiga marufuku mashirika ya misaada
Somalia yapiga marufuku mashirika ya misaada

Serikali ya Somalia imepiga marufuku mashirika kadhaa ya misaada ya kimataifa ikiwa ni pamoja na UNICEF na msalaba mwekundu baada ya kutofika kwenye mkutano.

Naibu waziri wa maji, nishati na madini wa Somalia Abdulrahman Yussuf Farah alitangaza marufuku hiyo hivi leo. Aliyashutumu mashirika hayo kwa kudharau mkutano ulioitishwa na serikali kuzungumzia ukame nchini humo.

Hakusema marufuku hiyo itachukua muda gani.

XS
SM
MD
LG