Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Julai 21, 2024 Local time: 20:31

Shirika la umeme Afrika Kusini Eskom laongeza muda  wa mgao wa  umeme

Wafanyakai wa ujenzi wa nyumba Afrika kusini.
Wafanyakai wa ujenzi wa nyumba Afrika kusini.

Shirika la taifa la umeme Afrika Kusini Eskom lilisema litaongeza muda wa mgao wa umeme siku ya Jumamosi na Jumapili kutokana na mahitaji ya juu kuliko ilivyotarajiwa na baada ya baadhi ya mitambo yake kupata hitilafu.

Ilisema itaongeza mgao wa umeme hadi hatua ya 4 kutoka hatua ya 2 kati ya saa saba mchana na saa 4 usiku siku ya Jumamosi.

Hatua ya 4 ya mgao wa umeme itaendelea tena kati ya saa mbili za asubuhi na saa 4 usiku Jumapili, iliongeza. Hii inamaanisha kimsingi sehemu nyingi za nchi zitakosa umeme kwa wakati uliotajwa.

XS
SM
MD
LG