Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 11:29

Shirika la kimataifa laonya uwezekano wa janga Kubwa la kibinadamu Yemen


Shirika la kimataifa laonya uwezekano wa janga Kubwa la kibinadamu Yemen
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:47 0:00

Shirika la kimataifa la huduma za dharura ya kibinadamu (IRC) limeonya Jumatano uwezekano wa Yemen kuingia katika janga Kubwa kuwahi kushuhudiwa la kibinadamu ikiwa ni miaka mitatu mfululizo kuorodheshwa kutokana na vita vinavyoendelea nchini humo.

XS
SM
MD
LG